Ezekiel 7:1-2

Mwisho Umewadia

1Neno la Bwana likanijia kusema: 2 a“Mwanadamu, hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo kwa nchi ya Israeli: Mwisho! Mwisho umekuja juu ya pembe nne za nchi.
Copyright information for SwhKC